Exodus 14:13-14

13 aMusa akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu Bwana atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena. 14 b Bwana atawapigania ninyi, nanyi mnatakiwa kutulia tu.”

Copyright information for SwhKC